AO3 News

Post Header

Published:
2015-07-29 14:54:10 UTC
Original:
Troubleshooting: Common Problems When Logging In
Tags:

Tata kawaida ambalo timu letu la msaada linatatua ni ambapo watumiaji hawawezi kuingia tovuti. Kuna sabau nyingi lakini hizi ndizo rahisi kutatua.

Kama unashida anza hapa:

Umeichechemua akaunti yako kuifuata link kwa barua meme?

Kama umeshaingia tovuti na umeshindwa kurudu, hakikisha umeichechemua akaunti yako. Utapata barua meme baada ya saa 24 kutoka [email protected] inayokuuliza uichachamue akaunti. Inafiika baada ya kuanzisha akaunti yako.Pengine email provider wako amechelewesha barua meme.

Ujapochechemua akaunti yako utapata barua meme kutoka:[email protected] inayohakikisha kuwa umeingia tovuti. Pengine barua meme imeingia katika spam folder. Kama huipati barua meme hiyo baada ya saa 24, tafadhali wasiliana na wasaaidizi Support ukiuliza wakusaidie.

Unajaribu kuingia na username yako (sio anwani ya barua meme), na umeiandika vizuri?

Unawezaingia AO3 kutumia username yako, anwani ya barua meme haitaingia.Kama umesahau username yako ama huna hakika kuwa umeiandika vizuri, unaweza kuuliza password yako ibadilishwe kwa New Password (Translation) page.Ziada ya password ya muda mfupi, barua meme itakuwa na username ya anwani hiyo highlighted kwa kalamu nyekundu. Tafadhali tambua kuwa hii itakusaidia kama tu anwani yako bado iko mkondo, kwa hivyo hakikisha habari zako za mawasiliano ziko up-to-date!

Browser yako ama password manager inaingiza username ama password yako bila wewe kujua?

Kama auto-complete yako ina auto-complete ama una password manager kuingia AO3, pengine habari hizi haziko sahihi. Kuhakikisha mambo yako sawa, futa hiyo habari na ingisha username and password manually. Kumbuka ku-update the auto-complete or password manager entry with the working combination later, kuzui shida hii kurudia.

Umejaribu kufuta browser cookies zako?

Saa zinkine shida za kuingia tovuti zinasababishwa na misconfigured au corrupted cookies. Cookies issues zinasababisha error message inayosema password au username hailingani na taarifa zetu hata ambapo zikosahihi ama unapojulishwa kuwa umeingia tovuti lakini hujainigia.

Kuhakikisha cookies hazikuzuii kuingia AO3, hakikisha kuwa browser ajo inaweza kukubali cookies kutoka AO3. Maelekezo yakuaandaa cookies zinatofautiana na browser lakini angalia link hizi:

Umejaribu kutoa browser extensions and add-ons?

Saa zingine browser extensions ama add-ons zinaingilia na login. Kuhakikisha browser settings zako hazikuzui kuingia tovuti, toa software ziada kwa kufuata links hizi.

Umeingia tovuti kutumia browser ama kifaa kingine?

Kama umeingia AO3 basi shida ni browser ama kifaa chako, na sio akaunti yako. Hivyo basi, tafadhali wasiliana nasi hapa Support, ili tukusaidie. Kumbuka kutupa habari kuhusa browser yako na vifaa vyako, pamoja na matatizo yenyewe.

Umejaribu suluhusho hizi zote lakini bado huwezi ingia tovuti?

Kama umejaribu suluhisho hizi zote lakini bado una matatizo tafadhali use this contact form kupata usaidizi. Tafadhali usiambie mtu yeyote, hata kwenye sehemu ya maoni, habari za akaunti yako. Maoni haya ni ya umma na yanaweza onwa na mtu yeyote. Maoni yaliyo na habari za kibinafsi zitatolewa.

Kama kawaida, tafadhali kumbuka kutupa maelezo mengi kuhusu tatizo lako, kwa mfano, waraka wa tatizo ama browser/device configuration, ili tuweze kukusaidia. Zaidi ya hayo, tuambie suluhisho ulizojaribu. Asante!